速報APP / 圖書與參考資源 / Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

價格:免費

更新日期:2019-05-16

檔案大小:6.5M

目前版本:5.5.2

版本需求:Android 4.0 以上版本

官方網站:mailto:goroshinka2010@mail.ru

Email:https://sites.google.com/view/wiktoria-apps-privacy-policy

聯絡地址:Belarus, Minsk, Plehanova 56/3 apt-5

Biblia Takatifu ya Kiswahili(圖1)-速報App

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili(圖2)-速報App

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Biblia Takatifu ya Kiswahili(圖3)-速報App

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia Takatifu ya Kiswahili(圖4)-速報App

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Biblia Takatifu ya Kiswahili(圖5)-速報App

Biblia Takatifu ya Kiswahili(圖6)-速報App